JF Chat: All members chat

Kwani leo ni besdei yako?
Ndio na chaajabu nalazimisha watu wani wish..🀣
Ama kweli Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa basidei ya kenzy..πŸ˜…
 
Naamini utaweza coz unahiyo passion..
 
Na hii Hali ya hewa hapa panaweza kuwa jikoni pa kuotea Moto. Wacha niweke Jambo.
 
Ndio na chaajabu nalazimisha watu wani wish..🀣
Ama kweli Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa basidei ya kenzy..πŸ˜…
Asa bila kutuambia tungenusa jamaniπŸ˜‚

Happy bday dear KENZY πŸŽ‚
I wish you the best in your lifeπŸŽ‰
Uendelee kuwa good boy
 
Asa bila kutuambia tungenusa jamaniπŸ˜‚

Happy bday dear KENZY πŸŽ‚
I wish you the best in your lifeπŸŽ‰
Uendelee kuwa good boy
Ahsante lenie,mi ni mtoto mzuri mwema na napenda amani..😊

Ila ombi langu waambie wana jf waache kunitolea kuwa mtu wa mfano!..πŸ˜…
 
Siku mojamoja niseme vizuri sister, first of all wish me happy b day no anyone alienitakia heri hata..😣
Hapa nishashiba ugali wa Dona na dagaa..πŸ˜‚
Happiest Birthday mdogo wangu mzuri ila mkorofi KENZY Mungu azidi kukutunza daima..!!

Bora wewe umekula ugali, nakula viazi mbatata vilivyokaangwa na vinyama vidogo vidogo ambavyo sina hakika hata kama ni vya ng'ombe, shida ni kuwa nimejaziwa pilipili kama nakomolewa, niko hapa nalia lakini siachi..

Depal
 
Ahsante lenie,mi ni mtoto mzuri mwema na napenda amani..😊

Ila ombi langu waambie wana jf waache kunitolea kuwa mtu wa mfano!..πŸ˜…
Hahahaa kwavile leo ni your big day basi nitawaambia.

Haya keki wapi tuje kula
 
Wow! Ahsante.
Piga pilipili hizo acha kulia ndo maisha hayo..πŸ˜‚

By the way mi sio mkorofi labda pilipili ndo zimekuchanganya..πŸ˜‚
 
Hahahaa kwavile leo ni your big day basi nitawaambia.

Haya keki wapi tuje kula
Nishakula ugali keki itokee wapi..?πŸ˜‚ Labda iliwe hapahapa ki jamiiforum huku nilipo nipo mwenyewe tu ndomaana nikaanzisha na huu uzi..πŸ˜…
 
Mtu mtu Kwan Kuna mtu Nani tena
Mh! Sawa ila watu mnamajina si kifani..πŸ˜‚

Okay vitu gani unapendelea zaidi unapotaka kujituliza binafsi napenda kula hadi kuvimbiwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…