KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
- Thread starter
- #101
Do you forget safari lager..?Nini kilikupata tena..kijana mkorofi wewe jamani kha?
Nilikuwa na mchepu,baada ya kuzipiga mchepu akazima kwenye usafiri nami nikajisahau na nikamsahau Kama yupo si nikasafirinae mpk kwa bi mkubwa!
Kilichonikuta naacha safari naamia Serengeti lager..🤣