JF Chat: All members chat

JF Chat: All members chat

Nini kilikupata tena..kijana mkorofi wewe jamani kha?
Do you forget safari lager..?

Nilikuwa na mchepu,baada ya kuzipiga mchepu akazima kwenye usafiri nami nikajisahau na nikamsahau Kama yupo si nikasafirinae mpk kwa bi mkubwa!
Kilichonikuta naacha safari naamia Serengeti lager..🤣
 
Hepi besidei blaza.

Haya kafute
Ahsante ila usichokijua nishafuta hata kabla sijakujibu malalamiko yako ya nifute ile komenti..😊

Hivi una naniliu humu nini maana mh!
 
Do you forget safari lager..?

Nilikuwa na mchepu,baada ya kuzipiga mchepu akazima kwenye usafiri nami nikajisahau na nikamsahau Kama yupo si nikasafirinae mpk kwa bi mkubwa!
Kilichonikuta naacha safari naamia Serengeti lager..🤣
Blaza naomba umtafute mchawi aliyekuloga tumuombe msamaha Kwa ajili yako
 
Ahsante ila usichokijua nishafuta hata kabla sijakujibu malalamiko yako ya nifute ile komenti..😊

Hivi una naniliu humu nini maana mh!
Achana na mimi nakwambia

Naniliu ndo nini
 
images.jpeg

Anyone who remember this movie..? Character gani alikuvutia zaidi..? Binafsi monalisa na ndio mpaka sasa amebaki kuwa muigizaji bora wakike ninaemkubali..
 
Hebu fanya manuva basi nazeeka dadako ujue
Dada humuhumu utapata we uwe unahudhuria tu au kaanzishe uzi kule love connect sijui.. majukwaa mengine kuyatembelea mpk sijui iweje..🤣
 
Back
Top Bottom