Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naamini utaweza coz unahiyo passion..Hapo ndio kujitafuta kwanza maana Mtu/Kampuni kukuomba uwafanyie Advertisement hapo wanaangalia na public figure yako hapo ukiwa Maarufu au na wafuasi wengi shavu hilo litakuangukia.
Na hapo na mimi bado najitafuta siku nikifanikiwa kuwa na public kubwa basi itakuwa rahisi sana kupenya.
Njema Sana sjui wwKaribu.. habari yako Mali ya mtu..?
Kabisa mkuu ni swala la muda tu maana naamini katika hilo.Naamini utaweza coz unahiyo passion..
Kwisha habari yangu..[emoji23]
Umekuja spidi sana tuanze hapa kwanza, Mambo..?
Happiest Birthday mdogo wangu mzuri ila mkorofi KENZY Mungu azidi kukutunza daima..!!Siku mojamoja niseme vizuri sister, first of all wish me happy b day no anyone alienitakia heri hata..😣
Hapa nishashiba ugali wa Dona na dagaa..😂
Hahahaa kwavile leo ni your big day basi nitawaambia.Ahsante lenie,mi ni mtoto mzuri mwema na napenda amani..😊
Ila ombi langu waambie wana jf waache kunitolea kuwa mtu wa mfano!..😅
Mtu mtu Kwan Kuna mtu Nani tenaMi nzuri huyo Mali ya mtu ndo mtu nani huyo..?
Wow! Ahsante.Happiest Birthday mdogo wangu mzuri ila mkorofi KENZY Mungu azidi kukutunza daima..!!
Bora wewe umekula ugali, nakula viazi mbatata vilivyokaangwa na vinyama vidogo vidogo ambavyo sina hakika hata kama ni vya ng'ombe, shida ni kuwa nimejaziwa pilipili kama nakomolewa, niko hapa nalia lakini siachi..
Depal
How..?