JF Chat: All members chat

JF Chat: All members chat

Hao siwajui ila hata kitaa kuna vyombo vya hatari .
Hapa kwetu upande wa pili kuna binti ni mzuri sana nimemuita binti kwasababu miaka yote yupo vilevile mimi nipo form 1 nilianza kumuona mpaka now nimezeeka tukitembea mimi naonekana mkubwa
Kile ni kisu chenye makali
 
Back
Top Bottom