JF Chat: All members chat

JF Chat: All members chat

Sasa mods wanahusika vipi?
Yule mwanzoni nilikua nampotezea lakini tokea nigundue anApenda shari nampa anachokitaka nguvu zinamuisha

Mitandao isikufanye unune, mtupie ignore list kama anakukera
Why wanatoaa Ban kwa watu hata hawasumbui wengine na wanamuacha. Usichojua dear anatumwa huyo. Miye naelewa kila kitu. Wee acha nitamnyoosha.
 
Back
Top Bottom