Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Nilivoona Mithali nikajua itakua 31 hiiMpaji Mungu mithali 16:3
unapenda mke mwema au upewe kileviNilivoona Mithali nikajua itakua 31 hii
Nipe ulanzi Lita mojaunapenda mke mwema au upewe kilevi
unataka mtogwa au mkangafuNipe ulanzi Lita moja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu mghecheee jamaniiiKipindi hiko nilikuwa sijui kufunga. Baada ya hapo nimeifunga. Ila naelewa huyo mtu ni mshamba na mswahili. So anahisi na hapa ni huko anakoishi agombanishe watu ndiyo furaha yake. Miye nitamghecha
Nletee togwa wakati nasubiria mkangafuuunataka mtogwa au mkangafu
Anawaonea wenginee tyuuh, anigusee mie aone ntavyo msanukiaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si mlikuwa mnamchekelea endeleeni kumchekea. Kichaa akishika jiwe kumrushia jirani yako usifikiri ataishia hapo, lazima akurudie na wewe uliyebakia. Bahati mbaya wengine unacheka nao pembeni wanakung’ong’a
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]My dear, ungekuja tu na ID yako ya siku zote. Hii ya juzi kwema?
Nakuelewa na nakubaliana nawe, japo ungekuja na ya siku zote, ningejua nikujibu vipi. Na pia sijajua ni kichaa yupi maana tunao wawili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ulanzi ukiwa mtogwa ni mtamu balaa,,utakunywa uvimbiweNletee togwa wakati nasubiria mkangafuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siku hiyo mfanye niwepooo, na mie niweke amsha amsha.Pole dear, [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] nacheka kama mazuri. Kichaa iko siku yake ataingia kwenye 18 nakwambia. Hii tabia itaisha tu, tuombe uzima.
Huwezi amini, sikuwa nikicheka wengine wakitukanwa, but alinizoea na kumpotezea mtu hajanikosea siwezi. Ila sasa nafikiri unaelewa why namimi kaamza kunishambulia. Hii tabia tutaikomesha, kuanzia anayemtuma mpaka anayefanya. Karibu tena [emoji12][emoji12][emoji12]
Woyooooooo!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hilo mbona nalijua fika, labda umesahau tu. Ana ID's za kujisifia, za kutukana watu. Kikundi cha kutukana watu. Akigombana na mtu, unashangaa ID kibao zinajitokeza kumshambulia mpinzani wake. Naelewa yote na zaidi dear. Namjua nje ndani nasubiri tu aingie vizuri anga zangu. Majibu utayaona, siongei nafanya vitendo tu.
Nkikwambia nikupe address untumie hutakiulanzi ukiwa mtogwa ni mtamu balaa,,utakunywa uvimbiwe
lini nilikataa mimiNkikwambia nikupe address untumie hutaki
Fanya maajabu sasalini nilikataa mimi
lete location chapFanya maajabu sasa
Shukran sana nimefika chapJack Palladino chimbo hili hapa
Ahaaa safiHumu utakutana na mnywaji mwenzako min -me
Ninao😎Utakua una kaulevi kako tofauti na pombe wewe😁