Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Pole dear, πππππ nacheka kama mazuri. Kichaa iko siku yake ataingia kwenye 18 nakwambia. Hii tabia itaisha tu, tuombe uzima.Id yangu imechongewa ila ushanijua π
Huwezi amini, sikuwa nikicheka wengine wakitukanwa, but alinizoea na kumpotezea mtu hajanikosea siwezi. Ila sasa nafikiri unaelewa why namimi kaamza kunishambulia. Hii tabia tutaikomesha, kuanzia anayemtuma mpaka anayefanya. Karibu tena πππ