Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Haya bn mtoto mzuri mi npo npo hapaMbona najua ila inabid kuishi nao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya bn mtoto mzuri mi npo npo hapaMbona najua ila inabid kuishi nao
Huko ni shwari au shari?
Twende tukaswaliHaya bn mtoto mzuri mi npo npo hapa
HelloKama unajihisi mpweke ama upo bored au unahamu ya kuchati na wasiofahamika na wanaofahamika!,hapa ndo mahala pake,njoo tupunguze stress,upweke,tucheke na tulie pia!.
Say hi to everyone and every time we will be there.
We chat..
Hello jf..?
Haaaah! Nimekumbuka jina langu la Leo naitwa IzudiniTwende tukaswali
Hahahaha,,Hadija hereHaaaah! Nimekumbuka jina langu la Leo naitwa Izudini
Chioma let's goHahahaha,,Hadija here
kunipeleka Nigeria tenaChioma let's go
Mmenifanya mpaka hasira zangu ziishe 🥰 mashetani ya Kikurya yalipanda leo. Mngeona maneno ya 2030Sema watu mna mambo mengi😁, ila kama umemjua wa hvo kwanini anakuharibia siku mapema hvo?
Humu tunapeana kampani tu siku zunasongaMmenifanya mpaka hasira zangu ziishe 🥰 mashetani ya Kikurya yalipanda leo. Mbveona maneno ya 2030
Huyo ni generational corruption hafai kabisa#Mama Samia mitano tena
Kwa kweli, na ndiyo inavyotakiwa kuwa. Ia watu wanaishi humu na tabia zao za nje. Humu ni kujifunza, kucheka na kusogoa basi.Humu tunapeana kampani tu siku zunasonga
Maisha yenyewe ndo haya hayaKwa kweli, na ndiyo inavyotakiwa kuwa. Ia watu wanaishi humu na tabia zao za nje. Humu ni kujifunza, kucheka na kusogoa basi.
Cold feet. Vikija vyakushtusha nitashutka 😂😂 Amani iwe juu yako
My dear, ungekuja tu na ID yako ya siku zote. Hii ya juzi kwema?Si mlikuwa mnamchekelea endeleeni kumchekea. Kichaa akishika jiwe kumrushia jirani yako usifikiri ataishia hapo, lazima akurudie na wewe uliyebakia. Bahati mbaya wengine unacheka nao pembeni wanakung’ong’a
Id yangu imechongewa ila ushanijua 😂My dear, ungekuja tu na ID yako ya siku zote. Hii ya juzi kwema?
Nakuelewa na nakubaliana nawe, japo ungekuja na ya siku zote, ningejua nikujibu vipi. Na pia sijajua ni kichaa yupi maana tunao wawili 😂😂😂😂😂😂😂