JF Chat: All members chat

JF Chat: All members chat

Kipindi hiko nilikuwa sijui kufunga. Baada ya hapo nimeifunga. Ila naelewa huyo mtu ni mshamba na mswahili. So anahisi na hapa ni huko anakoishi agombanishe watu ndiyo furaha yake. Miye nitamghecha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu mghecheee jamaniii
 
Si mlikuwa mnamchekelea endeleeni kumchekea. Kichaa akishika jiwe kumrushia jirani yako usifikiri ataishia hapo, lazima akurudie na wewe uliyebakia. Bahati mbaya wengine unacheka nao pembeni wanakung’ong’a
Anawaonea wenginee tyuuh, anigusee mie aone ntavyo msanukiaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
My dear, ungekuja tu na ID yako ya siku zote. Hii ya juzi kwema?
Nakuelewa na nakubaliana nawe, japo ungekuja na ya siku zote, ningejua nikujibu vipi. Na pia sijajua ni kichaa yupi maana tunao wawili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pole dear, [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] nacheka kama mazuri. Kichaa iko siku yake ataingia kwenye 18 nakwambia. Hii tabia itaisha tu, tuombe uzima.
Huwezi amini, sikuwa nikicheka wengine wakitukanwa, but alinizoea na kumpotezea mtu hajanikosea siwezi. Ila sasa nafikiri unaelewa why namimi kaamza kunishambulia. Hii tabia tutaikomesha, kuanzia anayemtuma mpaka anayefanya. Karibu tena [emoji12][emoji12][emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siku hiyo mfanye niwepooo, na mie niweke amsha amsha.
 
Hilo mbona nalijua fika, labda umesahau tu. Ana ID's za kujisifia, za kutukana watu. Kikundi cha kutukana watu. Akigombana na mtu, unashangaa ID kibao zinajitokeza kumshambulia mpinzani wake. Naelewa yote na zaidi dear. Namjua nje ndani nasubiri tu aingie vizuri anga zangu. Majibu utayaona, siongei nafanya vitendo tu.
Woyooooooo!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom