Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,394
- 59,069
Poa..kwema?Ahsante.. Mambo vipi lakini..?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa..kwema?Ahsante.. Mambo vipi lakini..?
Hapo mambo yakiwa mazuri karibuni naweza fikia ngoja kwa sasa nipambane pambaneMpaka sasa najua ushaanza nusanusa..😀
Alita battle AngelNitajie movie tatu za ngumi unazoziaminia nizitafute..
Ooh vyemaThanks.. binafsi napenda za kisayansi mi anga nini tafuta life, gravity na the Martian.
Huyu mdogo wangu ana stress za kuachwa , tumsaidie kwa kumpa kampani hivo hivo😂financial services
Njoo msaidie dogo amekamatwa na upweke
Marhaba, umeshindaje , happy birthday to you, ndiyo umetimiza 18yrs right?Haujambo...?😎
Karibu kwenye ulimwengu wa sci-fi pia ila hizo ni zile zinaektiwa in fiction lakini ambazo wanaangalia ktk mazingira husika vitu vina behave vipi..Ooh vyema
Napenda za
Comedy , Drama, Fantasy, Horror, Mystery,Romance na Thriller.
Ooh thank youKaribu kwenye ulimwengu wa sci-fi pia ila hizo ni zile zinaektiwa in fiction lakini ambazo wanaangalia ktk mazingira husika vitu vina behave vipi..
Kwani uongo?Mkuu mbona vurugu hivi..?😅
Kama unapenda comedy utapenda Carol's second Act maana inachekesha , four weddings yenyewe ni nzuri inaelezea uhusiano katika marafiki wanavyoishi na hata Alita ni kama sci-fiNikipata muda nitazicheki ngoja nisevu majina nikizipenda sanaa jiandae kutemeshwa majina ya movie Kila siku..😂