JF Chat: All members chat

JF Chat: All members chat

Yani nikiwa mdogo nilikua mdadisi mno , nilikua kwenye majaribio ,ila siku hizi ule udadisi sijui umeishia wap huwenda ningegundua ata balbu ya tofauti.
Kwahiyo ulivyowapaka pilipili ulitaka kugundua nini kwenye chululu zao?
 
Story nzuri sana hii
Uliiombaje? Hukutetemeka hukupiga kelele ulivyotoa uji?
Unajua kiasili kabisa mimi ni mafia na sipendagi unyonge hauwezi kuamini nilisimamia ukucha mtoto wa kilokole
1719135439395.jpg
 
Back
Top Bottom