KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
- Thread starter
- #1,481
hakuna kitu kivipi kwanza sasahivi tuna wachungaji wakisasa akina uwoya! yani mchungaji tu ukimuangalia pepo la ukorofi linakushuka!.. ukiombewa na yule hata pepo halipigi kelele na linatoka kiustaarabu sio mpk mrushiane ngumi .😅ila saivi hakuna kitu