JF Chat: All members chat

JF Chat: All members chat

ila saivi hakuna kitu
hakuna kitu kivipi kwanza sasahivi tuna wachungaji wakisasa akina uwoya! yani mchungaji tu ukimuangalia pepo la ukorofi linakushuka!.. ukiombewa na yule hata pepo halipigi kelele na linatoka kiustaarabu sio mpk mrushiane ngumi .😅
 
Hahahaha kaz kwelikweli 😆😆
 
1. Mimi ni mvivu, ninapokaa hakuna kanisa langu karibu
2. Waumini wa dhehebu langu wakitoka kanisani matendo yao ni yaleyale wivu, usengenyaji chuki

Nilichogundua dini ya kweli ni upendo sio lazima niende kanisani
Kajumuike na wenzio wewe, ila ni vizuri kama una upendo ,ndio jambo muhimu hilo.
 
1. Mimi ni mvivu, ninapokaa hakuna kanisa langu karibu
2. Waumini wa dhehebu langu wakitoka kanisani matendo yao ni yaleyale wivu, usengenyaji chuki

Nilichogundua dini ya kweli ni upendo sio lazima niende kanisani
ni upendo lakini hunipendi kwanini...??
 
Back
Top Bottom