JF Chat: All members chat

JF Chat: All members chat

Thriller is best since 1982 to date
na ndio album iliyouzwa zaidi mpaka sasa hakuna iliyofikia!,ukisikia kazi ya ufundi stadi ndio kama hii sasa acha hao wa uswahilini wanatikisa makalio tu ubunifu hakuna!,wakibuni wengine wanawaita freemason!
 
Kwamba utapanda mnazi mkuu Mimi Kuna siku nililia hii balaaa nilipaka kitu afu mtoto akasema aimama sijiiii nilikoma
kwanini mnatumia vitu mi sijawahi aisee! nyie ndo mnatuletea tabu sana mtakujaga kufa midomo wazi..🤣
 
Ulinunua au mamiloo kakupikia

Hapana! Hii dawa itafanya uwe ngangarii
IMG_20240716_154441_772.jpg

Nimepikiwa
 
Back
Top Bottom