ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Hiyo miaka 27 ndio mzee?🤔Toroka uje haraka, sisi ndio wazee tuliobaki hapa duniani tunaojua kulea 😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo miaka 27 ndio mzee?🤔Toroka uje haraka, sisi ndio wazee tuliobaki hapa duniani tunaojua kulea 😀
😂Punguza makasiriko basi! Umekula?Toroka nikuue😏😏
Miaka hii 72 si mchezo, naogopa nisije tu nikafia palee juu jukwaani 😀Hiyo miaka 27 ndio mzee?🤔
Wewe lazima ufie pale! Story zako zote ni mizagamuano utajenga kweli?Miaka hii 72 si mchezo, naogopa nisije tu nikafia palee juu jukwaani 😀
Leo una kisirani sana!! Unamuaibisha huyo handsome man hapo kwa avatar yako ujue!🙄Toroka nikuue😏😏
🏋😂Punguza makasiriko basi! Umekula?
Nguvu unazo za kupigana?🤔
Ndio maana nimekuja kwako angalau nijenge ata kibanda cha kujifichaWewe lazima ufie pale! Story zako zote ni mizagamuano utajenga kweli?

Eeeh! Kumbe kuna mitongozo hapa!🤔Ndio maana nimekuja kwako angalau nijenge ata kibanda cha kujificha![]()
Sifa ya mrembo ni kupewa mistari, hapo vipi 😀Eeeh! Kumbe kuna mitongozo hapa!🤔
Bado sana! Ni 1.7/10Sifa ya mrembo ni kupewa mistari, hapo vipi 😀
Naogopa kuweka mistari mizito, utashindwa kutembea 😀Bado sana! Ni 1.7/10
Vijana wa siku hizi hamuwezi mitongozoNaogopa kuweka mistari mizito, utashindwa kutembea 😀
Aya ebu shusha mistariVijana wa siku hizi hamuwezi mitongozo
Mimi ningekua mwanaume, wadada wangenielewa chapAya ebu shusha mistari
Ki vipi? ebu shusha mistari tuipime kama ina vigezoMimi ningekua mwanaume, wadada wangenielewa chap