Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,403
- 12,775
Hiki Kiswahili chako 'Kukalibishana' umerithi kwa nani?Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habal kinavyo jieleza hapo juu
Uz huu ni maalum kwa ajili ya kutakiana asubuh njema na kupiga mastory ya asubuh asubuh
Pia ni maalum kwa ajili ya kukalibishana kwenda kuoga na kukalibishana kunywa chai
Karibun wapendwa
Cc mbitiyaza
LONDON BABY
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakat naandika nilikuwa na mafuaHiki Kiswahili chako 'Kukalibishana' umerithi kwa nani?
MmmhKaribuni kuoga 😉
Ati Yesu fahari yako?Aisee pole sana mkuu tafuta mtoto hata mmoja mkuu then utulie ule huo ujana wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshangaa huyu boya![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unajua tofauti ya kuwa na mafua na kuwa na kamasi?
Wengine ni baba zako huku!
Afu ndiyo ukute janaume(kijivulana kinaishi kwa shemeji).
Unavyoishi wewe kwa shemeji yako unadhan kila mtu ndo hivo siyoAfu ndiyo ukute janaume(kijivulana kinaishi kwa shemeji).
Shemejiyo akijiongeza akalipa mahari utabebwa fanya ujinga uone..!
Kafanye kazi bwege weeh...! Utaolewa shauri yako..
Duh nitaolewa? Au unataka nije nikupige miti? Kati ya mimi na wewe nan akafanye kaz maana mimi now niko kazinKafanye kazi bwege weeh...! Utaolewa shauri yako..
Nyau pori kweli wewe/pakashume..! Stop there kinyamkera waeehed..!Duh nitaolewa? Au unataka nije nikupige miti? Kati ya mimi na wewe nan akafanye kaz maana mimi now niko kazin
Sent using Jamii Forums mobile app
Nywanoko nsaji bhebheNyau pori kweli wewe/pakashume..! Stop there kinyamkera waeehed..!
Madako gako nywanoko ebheNyau pori kweli wewe/pakashume..! Stop there kinyamkera waeehed..!