Jf chit chat AT MORNING

Jf chit chat AT MORNING

Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habal kinavyo jieleza hapo juu

Uz huu ni maalum kwa ajili ya kutakiana asubuh njema na kupiga mastory ya asubuh asubuh

Pia ni maalum kwa ajili ya kukalibishana kwenda kuoga na kukalibishana kunywa chai

Karibun wapendwa

Cc mbitiyaza


LONDON BABY

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiki Kiswahili chako 'Kukalibishana' umerithi kwa nani?
 
Back
Top Bottom