Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Shemeji yangu mbiti umeamkaje mama?[emoji28][emoji28][emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ewalaaa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Karibuni kuoga 😉
Shemeji yangu mbiti umeamkaje mama?[emoji28][emoji28][emoji28]
Pole mungu ni mwema utapona tu dearsina nguv saana za kwenda church! dawa zinazengua ! nipo tu napumzika
Boss mbona umeadimika sanaShemeji yangu mbiti umeamkaje mama?[emoji28][emoji28][emoji28]
Wasukuma nyie jau
People gani izo baby?Mods piga ban this people
Naonaga huwa ana kudis sanakatika watu ambao nawish niwaone live huyo ni no 1 !nahisg siku niku nikimuona nitampiga migumi ya mgongon jaman ! huwa ananiuma na kunipuliza !namuangaliaga tu !
Kivp mkuu huyo jamaa alizingua nikamwomba jose akaushe nimushugulikieWasukuma nyie jau
Eti nyie wasukuma maana ya Nyo ya mwa noko ni nn?Kivp mkuu huyo jamaa alizingua nikamwomba jose akaushe nimushugulikie
Sent using Jamii Forums mobile app
Subili ukue utajuaEti nyie wasukuma maana ya Nyo ya mwa noko ni nn?
Nilimbiwa ni salamu Eti ni kweli?
Sio vibaya ila nashangaa unasema Yesu fahari yako then unamshauri mtu afanye uzinzi...ndivyo alivyokufundisha huyo Yesu?
Itakuwa hukunielewa mkuu nilimshaur azae kama mungu alivyo agiza kwenye vitabu vyake maana jamaa umri unaenda hana hata mtoto wa kusingiziwaSio vibaya ila nashangaa unasema Yesu fahari yako then unamshauri mtu afanye uzinzi...ndivyo alivyokufundisha huyo Yesu?
Sent using Jamii Forums mobile app