JF Chit: Chat hapa upate mchumba

miss u more nasikia umeoa
Hatuambizan au kwavile mfupi 🀣🀣🀣🀣hutaki nimjue
Hukuwa unapatikana ningekuambia vipi tena?
Nimempendea ufupi wake yaaan ananichanganya si mchezo nikimuona emolo wangu.
🀣
 
🀣🀣🀣🀣sikuwa napatikana kwa njia gani
Hongera mkuu wafupi wamuta
Kwa njia zote za mawasiliano, napokea hongera hizi kwa moyo mkunjufu πŸ˜….

Hapo mwisho umemaanisha watamu "wamuta"? Kumbe na wewe una kababaa kafupi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…