Nyamwi255
JF-Expert Member
- Dec 2, 2022
- 4,848
- 12,776
Aah nilisahau ... hili bichwa langu hili kwa kusahau😄😄Wewe upo na mimi😁😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aah nilisahau ... hili bichwa langu hili kwa kusahau😄😄Wewe upo na mimi😁😁😁
😁😁Aah nilisahau ... hili bichwa langu hili kwa kusahau😄😄
Hukuwa unapatikana ningekuambia vipi tena?miss u more nasikia umeoa
Hatuambizan au kwavile mfupi 🤣🤣🤣🤣hutaki nimjue
🤣🤣🤣🤣sikuwa napatikana kwa njia ganiHukuwa unapatikana ningekuambia vipi tena?
Nimempendea ufupi wake yaaan ananichanganya si mchezo nikimuona emolo wangu.
🤣
Kwa njia zote za mawasiliano, napokea hongera hizi kwa moyo mkunjufu 😅.🤣🤣🤣🤣sikuwa napatikana kwa njia gani
Hongera mkuu wafupi wamuta
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣utanivunja mbavu zanguKwa njia zote za mawasiliano, napokea hongera hizi kwa moyo mkunjufu 😅.
Hapo mwisho umemaanisha watamu "wamuta"? Kumbe na wewe una kababaa kafupi?View attachment 3082150
😊😊Wewe ni huyo wa kwanza mwenye kujiheshimuMm Niko wapi hapo😁
Sio kuhesabiwa tu, kwenye moyo wangu una nafasi yako 😘😘😘Nashkuru kwa kunihesabu
Usiniumize sasa mda wote nipendeAsante Alan akee
Umeona maini hayakusaidii, umeamua uyachome 🙆🙆🙆Ngoja nipate kisungura kimoja hapa ntarudi kukujibu kiufasaha
😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌 Mi ni mtu na heshima zangu ujue...🤣🤣 Sasa totoo unafikiri kuna mtu atakuona mkubwa humu?
Teeeeh!😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌 Mi ni mtu na heshima zangu ujue...
Mbinguni tutapewa miili mipyaUmeona maini hayakusaidii, umeamua uyachome 🙆🙆🙆
Umesahau wewe ni motoni one way? 🤣Mbinguni tutapewa miili mipya
Kama Mimi ni motoni sasa nani atapona?Umesahau wewe ni motoni one way? 🤣
Mambo mchumbaMchumba asipopatikana leo ndo basi tena🤣🤣🤣🤣
Mimi🤣Kama Mimi ni motoni sasa nani atapona?