Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
😂😂😂Mama ntilie haguswi watu wanadeal na mabinti wa kazi wa mama ntilie wakiletwa tu wajanja wanaweka muhuri wao kabla hajachafuliwa na wengiUnagara gara na mama ntilie🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂Mama ntilie haguswi watu wanadeal na mabinti wa kazi wa mama ntilie wakiletwa tu wajanja wanaweka muhuri wao kabla hajachafuliwa na wengiUnagara gara na mama ntilie🤣🤣🤣
😂😂Kumbe hapa ndipo unapokwamia totoo🙆🙆
Mpaji Mungu kwenye moja na mbili ya harakati zake🤣🤣
Mi inanifurahishaga avatar yake km zimo km hazimo basi na mwandiko wake uko hivyohivyo, hana makuu wala makeleleMpaji Mungu kwenye moja na mbili ya harakati zake🤣🤣
Unaruhusiwa kuongeza,Kuna watu wanatafuta MCHUMBA, anzeni na kichumba, kisha chumba, halafu ndio mchumba,
Wengine tushatoka kwenye mchumba sasa hivi tuna mSEBULE 😂
Unaruhusiwa kuongeza,
kitambo sana alqasusu kesho mchana nitaenda pande za Kajenjerere kuna kazi nataka nika print baada ya hapo itabidi niingie maeneo ya Masjid Alaqswa Makonde nipate hiyo kitu.😂😂😂
Kamba tu hizo nawadanganya waja....story za kwenye alqasus
😂😂Mpaji Mungu kwenye moja na mbili ya harakati zake🤣🤣
MakoofiiiiiiiiiiMi inanifurahishaga avatar yake km zimo km hazimo basi na mwandiko wake uko hivyohivyo, hana makuu wala makelele
Selfu contenaNiongeze nini sasa kiwe chumba na choo ndani ama? 😂🤣
😂😂UVCCM wanaruhusiwa kwenye hii thread
KAZI KWELI KWELI/JOBTRUETRUE
dem wangu huyoYupo Nyamwi255 huyu
Kampeni Meneja aka Chawa wa kujitolea ili kufanikisha jambo nipo 🤣🤣🤣😂😂
Huu mwaka ukiisha sijapata mwali jiandae
Kuna wale masheikh wanatembezaga anakuuzia na tende 😁anaongezea na madawa yake ya uwongo na kweli ili akupige pesa mara almitinkitambo sana alqasusu kesho mchana nitaenda pande za Kajenjerere kuna kazi nataka nika print baada ya hapo itabidi niingie maeneo ya Masjid Alaqswa Makonde nipate hiyo kitu.
Selfu contena
Usiombe uwekewe mint ya unga kwenye alkasusu alooo utapiga chafya kama mbuzi aliyekula pilipili ya unga. Lakini ni poa sana ile mishikaki ya tende. 😁😁😁Kuna wale masheikh wanatembezaga anakuuzia na tende 😁anaongezea na madawa yake ya uwongo na kweli ili akupige pesa mara almitin
Nikimpata Huyu nanunua JF Nampa umiliki yeye nawaambia developers wamtengenezee privileged account ambayo itaona details za members wote ili ukidanganya aone AtotoKampeni Meneja aka Chawa wa kujitolea ili kufanikisha jambo nipo 🤣🤣🤣
Kikiwa ghorofani je? Huu uzi si wa wachumba bali ni wa wakumbatia mito,waliotelekezwa, long-distance, mayatima wa mapenzi, mtoa mada abadili headingKikiwa ni fulu fanishid itapendeza zaidi