Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Sasa Kuna sheikh Moja lazima aniletee kila siku hiyo mint ya unga anaiweka ukitaka kunywa ni kama inakupokonya pumziUsiombe uwekewe mint ya unga kwenye alkasusu alooo utapiga chafya kama mbuzi aliyekula pilipili ya unga. Lakini ni poa sana ile mishikaki ya tende. πππ