JF Chit: Chat hapa upate mchumba

JF Chit: Chat hapa upate mchumba

mCHUMBA wa nini bebe, wakati nakumiliki wewe mNYUMBA, tena ni mGHOROFA. 5 STARS kabisa, chombo certified by ISO. ๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜
Kwako nikitaka mCHUMBA vipo vyumba vya kutosha, ventriko juu na chini na auriko juu na chini, nichague mimi pakujimwaga.
Sebuleni, nalala mapajani napata upepo wa maana.
Uwani, najipumzisha kwenye balcony napata sea view.
Jikoni ndio mahala pake, msosi umejitosheleza, chumvi ikipungua, nazama chumvini, table salt NaCl naipata kwa ulimi..

Basi tusiwape watu faida bebe wangu,
I love you, jamiiforum woote wanajua.
Nakala ya kukutongoza ipo kwa Maxence Melo
Heeeeh!! Nadanganywa mimi ๐Ÿ™†๐Ÿ™†
 
Nipo single zaidi ya mwaka, nikiwa najitafuta Kwa sasa nimejipata naitaji mwanamke mwenye uwezo wa kusimamia kampuni yangu
 
Back
Top Bottom