Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Oooooh aloooo kuna mtu mpaka nimempa ten langu hapa anitafutie namba yako ๐๐๐๐nilkua napumua tu nje huko๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oooooh aloooo kuna mtu mpaka nimempa ten langu hapa anitafutie namba yako ๐๐๐๐nilkua napumua tu nje huko๐๐
ili upeleke wapi kijana ๐๐Oooooh aloooo kuna mtu mpaka nimempa ten langu hapa anitafutie namba yako ๐๐๐๐
Badili I'd hiyoHahahaha ๐ ๐,, kwenye password mbona kama unanikomoa
Kesho asubuh na mapema hutaiona kwaajili yakoBadili I'd hiyo
Badili I'd hiyo
Mpaji Mungu hakikisha Mzee mwenzangu unapata shemeji kesho asubuhiKesho asubuh na mapema hutaiona kwaajili yako
Ili nijue upo wapi ๐๐๐ili upeleke wapi kijana ๐๐
Hawezi kukukataaa namjua huyo, Kwa watoto wazuri kama ww sasa hivi anatumia nauliFirst of all,,ukue mchumba angu wa online tafadhal ๐ ๐ Mpaji Mungu njoo uone navokataliwa live na nmejitutumua
Duh! Unajibana sanaaMfano kama tungekutana kwenye mtandao tofauti na JF, unayemsemea ningejitosa haki ya Mungu
Akili mtu wangu! Ngoja tuoneDuh! Unajibana sanaa
Mbona haonekani kua na shida yoyote
Ila uamuzi ni wako
Usijibane mimi nataka kuja kula wali ndondo wa naziAkili mtu wangu! Ngoja tuone
Vuta subra kidogo, kuna mahali naweka mambo sawa pakitiki tu....unapata kadi special ya mwalikoUsijibane mimi nataka kuja kula wali ndondo wa nazi
Huyo ndo mwalimu wangu! ๐Unajua kuvumilia kutokukurupuka! Hizo notes ebu mpatie na min -me asome
Mambo min akee! Nilikua nakusalimia kiujanjaKumbe huwa nakurupuka rafiki?
Nilikua namtania! Huyo pia anajua kujikausha kama sio yeye vileHuyo ndo mwalimu wangu! ๐
Mweleze mkuu๐Huyo ndo mwalimu wangu! ๐
Samala tu za wewe ephen ๐Mambo min akee! Nilikua nakusalimia kiujanja
Nilikua namtania! Huyo pia anajua kujikausha kama sio yeye vile
Nzuri kabisa! Subiri nijifunike shuka huku baridiiiiiSamala tu za wewe ephen ๐
Mwezi wa 11 mi natangulia kuweka mazingira sawa uje nae kule republicMweleze mkuu๐
Hii imeeenda! Hii imeeenda!Nilikua namtania! Huyo pia anajua kujikausha kama sio yeye vile