JF Chit: Chat hapa upate mchumba

JF Chit: Chat hapa upate mchumba

Hii ni thread maalumu kabisa kwa wale ambao wako single na wanataka better half, pole pole mjuane. Huwezi jua umepangiwa utakutana nae vipi

Walio kwenye relationship nyie tulieni acheni wenzenu wapate nao wafaidi mema ya nchi.
Haya ngoja nijaribu bahati yangu.
 
Back
Top Bottom