min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Hahaha utani tu mkuu ,huyo ni rafiki tu.Mwezi wa 11 mi natangulia kuweka mazingira sawa uje nae kule republic
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha utani tu mkuu ,huyo ni rafiki tu.Mwezi wa 11 mi natangulia kuweka mazingira sawa uje nae kule republic
Sema mshkaji! Urafiki unaujua🙄Hahaha utani tu mkuu ,huyo ni rafiki tu.
Kwani vibaya kuja na rafiki?Hahaha utani tu mkuu ,huyo ni rafiki tu.
Sio vibaya😁Kwani vibaya kuja na rafiki?
😁😁Sawa, ila tulishikana wap?Sema mshkaji! Urafiki unaujua🙄
Akae siti ya mbele pale afu unashusha kioo awaone maex zako wanavosomba majani ya mbuzi & ng'ombeSio vibaya😁
Basi memba mwenzako wa karibu😁😁Sawa, ila tulishikana wap?
😁😁halafu hauwezi amini sijawahi kuwa na mchaga?Akae siti ya mbele pale afu unashusha kioo awaone maex zako wanavosomba majani ya mbuzi & ng'ombe
Kikuu usicheke bwana, nina huzuni mwenzio😭😂😂😂😂😂😂
Dadeq! Mi alienifungulia Dunia kujua ipo kwa pale ni mchaga 😂😁😁halafu hauwezi amini sijawahi kuwa na mchaga?
Nimekumbuka kitu nimeishia kucheka tu😂Dadeq! Mi alienifungulia Dunia kujua ipo kwa pale ni mchaga 😂
Share vitu na Mimi nicheke na siku ya tatu sijachekaNimekumbuka kitu nimeishia kucheka tu😂
🤣🤣🤣 Ndo nakwambia sasa!Hapa uongo❌
Kuna mtu alinihadithia siku ya kwanza yeye alipofika juu vitu vimetoka kwa kasi ule uoga akakimbia nje akiwa uchi akamuacha demu ndaniShare vitu na Mimi nicheke na siku ya tatu sijacheka
Mia siwata tafuta wote😁😁🤣🤣🤣 Ndo nakwambia sasa!
Si ulibeba zote ukalipa kodi? Na zilikuwa 'afu selasini' tu 😂Hela zote zipo kwake matumizi anapanga yeye sasa sijui nihudumieje
Hahaha unapenda dogodogo😀umri 36
Dini K
Kazi Benki
Nahitaj girl umri 18-26
Dini yyte
Kazi sio lazima