Chit chat ilichangamka wakati akina Bishanga wanatafuta wanawake wa kuwapikia futari kuna walioingia mkenge kama akina Kongosho hadi ujauzito wakapata. Idd inakaribia wameshatangaza kurudi kwa wake zao. Wengine kama akina Zahra White na Mrs Bishanga wakatolewa nje. Lady docto kaambulia ya mkeka kwa Arushaone. Akaja Vin Diesel nae katoka na yule mrembo mwenye makelele. akaja kiwatengu kamrubuni Mtoto wa watu ameenda kumpikia idd imekaribia kiwatengu kaingia chaka yaani cc ni full mkanganyiko loooh.

...wakikwambia utanijuzaKuna nini kinaendelea hapa
Mamndenyi hivi zile talaka zako wamekuandikia na expire date yake????
Lady doctor
talaka hainaga expire date,
ukipewa talaka masharti yake ni kuwa ukaolewe kwingine kwanza
huko ukiachika tena unauwezo wa kurudi kule kulikotangulia kuachika
Kama siyo kukupisha saa hii nilitakiwa nirudi kwa Arushaone baada ya talaka ya Mr Rocky.
Kwa sasa ndo namalizia kabisa eda,
yaani ikifika 8/8 nitaanza kuweka uzi
wa kutafuta mume mupyaaaaaa!
Halafu safari hii nitakuja na mikwara kibao,
Lazima nimpata mtu maarufuuuuuuu
kuliko wanaume wote hapa jamvini.
ngoja siku ifike utajionea.

...wakikwambia utanijuza

Kuna nini kinaendelea hapa
wanadiscuss kupwa na kujaa kwa mamemba wa cc
mama this tym ukimpata mume,zungushia mabomu nyumbani kwako..mwizi wa mumeo akisogea tuu unamlipua..na uyo mume alisumbua nae unamlipua kiungo kimoja baada ya kingne..ili wasikuumize moyo tena
haaaa
umezidi mno kunipa maumivu ya moyo