JF Chit Chatting iko kama bahari "KUPWA NA KUJAA"

JF Chit Chatting iko kama bahari "KUPWA NA KUJAA"

mama this tym ukimpata mume,zungushia mabomu nyumbani kwako..mwizi wa mumeo akisogea tuu unamlipua..na uyo mume alisumbua nae unamlipua kiungo kimoja baada ya kingne..ili wasikuumize moyo tena

we nae tangia mwanangu manoah akupige chini......
 
Last edited by a moderator:
mhm! yangu ni macho tu hapa napita mie sitaki shari bure
kbm umewaza nini kurusha huu uzi? Hivi unajua kichoendelea hapa? Ogopa maji yaliyotuama chini samaki wanazaliana.Hapa cc kazi inapigwa kama kawa ila kiPM zaidi,upo hapo mkuu au unahitaji ufafanuzi zaidi?
 
kwa sasa kilichobakia hapa ni return divorce nyingi kuziona like this new.jpg
"Jukwaa hili kuna kipindi linachangamka sana kuliko majukwaa mengine, na kunakipindi members wake hawaonekani kabisa"

Maji kujaa na kupwa ni mabadiliko ya uwiano wa bahari unaopanda na kushuka kila siku. "Maji kujaa" ni hali ya juu na "maji kupwa" ni hali ya chini ya maji ya bahari. Tofauti kati ya hali hizi inaweza kufikia hadi mita kadhaa.
Mabadiliko ya maji kujaa na kupwa hutokea mara mbili kila siku yaani kila mahali huwa na maji kujaa mara mbili na maji kupwa mara mbili kila siku.

300px-Bay_of_Fundy.jpg


... Kaka mkubwa amezoe kupaita "Stress free zone" au sehemu yakutumika kama njia ya kutafuta wachumba, kuunganisha marafiki, na kukuza ujamaa kati ya baadhi ya members.

...au ndiyo dalili ya muungano kuvunjika?
 
Back
Top Bottom