JF Chit: Mchezo wa kutafuta mchumba

Yaan kuoa anataka au kuolewa anataka Ila akijitokeza aliyeserious hamtaki anaendelea kuchaguachagua jf....mwisho wa siku anakutana na kivuruge...then anarudi kutulaani wote humu jf
Sasa na hivyo ndivyo mapenzi yalivyo, unachagua chagua na kubagua wale sahihi mpaka pale utakapompata mwenye maumivu yako πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…