JF Chit: Mchezo wa kutafuta mchumba

Msemakweli ni mpenzi wa Mungu ,
Natafuta mwanamke mwenye uhitaji wa mume.
Awe na umri kuanzia miaka 30 na mwisho miaka 36.

Elimu yake: Bachelor degree au zaidi. Asiwe below bachelor degree, if she have Diploma or less ...... I am so sorry hata kama ni mshangazi una hela zako but pita pembeni kabisa sikuhitaji.

Uwe muonekano mzuri wa umbo la kike no matter your black or white.
Uwe public sector or private sector, karibu sana mke wangu mtarajiwa.
Mengine tutayajadili pm.
 
I am gentleman looking for a wife.

Jamani kama kuna mwanamke mwenye uhitaji karibu sana.

Umri kuanzia miaka 30 mwisho miaka 36. Awe na elimu kuanzia Bachelor degree au zaidi, na sio elimu chini ya degree NO PLEASE.

AWE PRIVATE SECTOR OR PUBLIC SECTOR.

Mengine tutayajadili pm.

Karibu sana mke wangu usiogope ukuje tujenge familia Bora
 
cocastic unaitwa huku,,new member lakin ni mkongwe
 
Kumbe cocastic ni mwanamke😗😗
 
Jamani mwenzio natafuta mwanamke wa kujenga nae familia. Awe mwanamke mwenye uhitaji wa mume.

Hata kama ni mshangazi sawa tu haina shida LAKINI elimu yake ianze na bachelor degree au zaidi.

Pia umri wake uanzie miaka 30 mwisho miaka 36 tu.

Awe private sector or public sector, Karibu sana. Mengine tutayajadili pm.
 
Hawawezi pitwa mi lazma niwa mention waone kinagaubaga Aaliyyah kuja uku
 
Carleen kwa heshima na taadhima uje huku,,wewe ue bi mkubwa wa kwanza kutajwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…