JF Chit: Mchezo wa kutafuta mchumba

JF Chit: Mchezo wa kutafuta mchumba

Msemakweli ni mpenzi wa Mungu ,
Natafuta mwanamke mwenye uhitaji wa mume.
Awe na umri kuanzia miaka 30 na mwisho miaka 36.

Elimu yake: Bachelor degree au zaidi. Asiwe below bachelor degree, if she have Diploma or less ...... I am so sorry hata kama ni mshangazi una hela zako but pita pembeni kabisa sikuhitaji.

Uwe muonekano mzuri wa umbo la kike no matter your black or white.
Uwe public sector or private sector, karibu sana mke wangu mtarajiwa.
Mengine tutayajadili pm.
 
I am gentleman looking for a wife.

Jamani kama kuna mwanamke mwenye uhitaji karibu sana.

Umri kuanzia miaka 30 mwisho miaka 36. Awe na elimu kuanzia Bachelor degree au zaidi, na sio elimu chini ya degree NO PLEASE.

AWE PRIVATE SECTOR OR PUBLIC SECTOR.

Mengine tutayajadili pm.

Karibu sana mke wangu usiogope ukuje tujenge familia Bora
 
NUMBER TWO : Cocastic

Huyu ni mwanamke wa kipekee, machachari sana , anaonekana mjanja mjanja sana wa mjini but I gues huyu upstairs yupo njema sana. Na hiki ndio kinachonivutia zaidi hasa kupitia comments anazochangia kwa post mbali mbali.
Ni aina ya wanawake wajanja but God fearing!
Navutiwa nae kumuoa kwa sababu hata Mungu akitujalia naamini tutapata watoto ambao upstairs watakuwa njema sana kwa sababu mama yao Cocastic nae yupo poa kichwani+ mimi baba yao - hapo nadhani tutakuwa so proud na watoto wetu aisee

Cocastic nikuchumbie uwe mke wangu jamani
cocastic unaitwa huku,,new member lakin ni mkongwe
 
NUMBER TWO : Cocastic

Huyu ni mwanamke wa kipekee, machachari sana , anaonekana mjanja mjanja sana wa mjini but I gues huyu upstairs yupo njema sana. Na hiki ndio kinachonivutia zaidi hasa kupitia comments anazochangia kwa post mbali mbali.
Ni aina ya wanawake wajanja but God fearing!
Navutiwa nae kumuoa kwa sababu hata Mungu akitujalia naamini tutapata watoto ambao upstairs watakuwa njema sana kwa sababu mama yao Cocastic nae yupo poa kichwani+ mimi baba yao - hapo nadhani tutakuwa so proud na watoto wetu aisee

Cocastic nikuchumbie uwe mke wangu jamani
Kumbe cocastic ni mwanamke😗😗
 
Jamani mwenzio natafuta mwanamke wa kujenga nae familia. Awe mwanamke mwenye uhitaji wa mume.

Hata kama ni mshangazi sawa tu haina shida LAKINI elimu yake ianze na bachelor degree au zaidi.

Pia umri wake uanzie miaka 30 mwisho miaka 36 tu.

Awe private sector or public sector, Karibu sana. Mengine tutayajadili pm.
 
NUMBER THREE: Aaliyyah

Huyu ni decent woman but she seems to be very selective. Naamini ipo siku atakuja kujutia hii tabia yake.
Honestly from my heart nampenda sana Aaliyyah but it sounds like tayari married or taken with someone and she don't know what to do right now - the way forward.

Anyway, nilichompendea ni MWANDIKO WAKE. Aaliyyah yupo vizuri kichwani, kapata malezi mazuri kwa familia yake hasa upendo wa baba yake.
I wish angekuwa wangu ili tuweze kujenga maisha pamoja na sisi tuweze kuwa role model kwenye jamii kama ambavyo baba yake au familia yao ilivyokuwa role model mtaani kwao.

Aaliyyah know that nakupenda and I will not stop loving you 😘
Hawawezi pitwa mi lazma niwa mention waone kinagaubaga Aaliyyah kuja uku
 
Msemakweli ni mpenzi wa Mungu ,
Mimi kuna wanawake watatu humu jf ambao kama nabahatika kuonana nao, nipo tayari kuoa mmoja wao kwa maana wana sifa za kunifaa japo Avatar zao zimenivutia - wawili, mmoja nimevutiwa na muandiko wake.
NUMBER ONE: Carleen
Huyu mwanamke ananivuruga akili yangu sana tena. Anaonekana ni mtu mwenye hofu ya Mungu, lakini pia ni mwanamke wa kisasa - anaekwenda na wakati .

Lakini pia Avatar yake inanifanya nizidi kuchanganyikiwa hofu yangu ni kuwa huenda tayari ana mume au familia tayari but siachi kumzimia na nipo ready to establish a stable and good family with her. Please Carleen pokea huo ujumbe wangu
Carleen kwa heshima na taadhima uje huku,,wewe ue bi mkubwa wa kwanza kutajwa
 
Back
Top Bottom