JF Chit: Mchezo wa kutafuta mchumba

Hebu tulia basi mbona unaongea sana ka mwanamke wa kizaramo.....nilifanya na wewe?? 😏😏😏😏
Samahani ninanukuu maelezo yako haya:

Threesome iko overrated sana, ni kitu cha kaawaida kabisa wala hakina maajabu.....
 
Acha kiherehere, punguza na utoto......
Hiyo comment haujasoma peke ako
 
Najiuliza watu wapo wapi..
Wadau wangu wapo wapi.

Kumbe wapo kutafutana humu na wachumba zao πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…