min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Kaone ๐๐๐Afu mkono uache...
Una madhara fulani..
Mie nimeprove
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaone ๐๐๐Afu mkono uache...
Una madhara fulani..
Mie nimeprove
๐๐๐Ifikie hatua haya Mambo tupambane nayo hikihiki kitaa....humu ni changamoto sana๐คฃ
Unataja jina kavu kavu. Hata huko mwingine itakuwa hivo hivo
Sio wote mkuu, mimi bado๐๐๐๐
Huku kila mtu kavurugwa
we ni mwanamke kweli nisije kujichanganya๐Shindikana acha kujitetea, haiombwi hivyo๐
Ila akijaa kwenye mfumo..Ninaempenda ni ephen_ kama rafiki yangu tu wala sihitaji kua na uchumba nae๐ค
Sawa ulishapata mume umeanza leta mambo ya watoto wa sinzaUnataja jina kavu kavu. Hata huko mwingine itakuwa hivo hivo
Vijana wadogo mna mambo ya ovyo๐๐๐๐ kwamba ๐คIla akijaa kwenye mfumo..
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ Siku hizi haiombwi inanunuliwa tuuHaiombwi hivyo
Naomba nije faraghaSitaki mchumba mimi ๐
We jidanganye, sijafunga na niko hapa kwa ajili ya mtu mmoja tu.
Hujaacha tu, halafu wewe nitakujua tu ni nani kwa ID nyingine ๐Mimi moyo wangu upo kwa Bantu Lady tu kama hujui
Tajiri huna baya tajiri ishi sana tajiriiiii ๐๐Sitaki mchumba mimi ๐
Ila kantriii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mada za hivi zishawekwa zaidi ya mara 100. Hakuna jipya
Chukua togwa hapo kunywa usichoshe watu
Hakuna atakae kuingilia mkuuRuksa kutongoza yoyote yule ila kwa Bantu Lady usiguse nitauwa mtu ooh๐