Kaone πππAfu mkono uache...
Una madhara fulani..
Mie nimeprove
πππIfikie hatua haya Mambo tupambane nayo hikihiki kitaa....humu ni changamoto sanaπ€£
Unataja jina kavu kavu. Hata huko mwingine itakuwa hivo hivo
Sio wote mkuu, mimi badoππππ
Huku kila mtu kavurugwa
we ni mwanamke kweli nisije kujichanganyaπShindikana acha kujitetea, haiombwi hivyoπ
Ila akijaa kwenye mfumo..Ninaempenda ni ephen_ kama rafiki yangu tu wala sihitaji kua na uchumba naeπ€
Sawa ulishapata mume umeanza leta mambo ya watoto wa sinzaUnataja jina kavu kavu. Hata huko mwingine itakuwa hivo hivo
Vijana wadogo mna mambo ya ovyoππππ kwamba π€Ila akijaa kwenye mfumo..
π€£π€£π€£π€£ Siku hizi haiombwi inanunuliwa tuuHaiombwi hivyo
Naomba nije faraghaSitaki mchumba mimi π
We jidanganye, sijafunga na niko hapa kwa ajili ya mtu mmoja tu.
Hujaacha tu, halafu wewe nitakujua tu ni nani kwa ID nyingine πMimi moyo wangu upo kwa Bantu Lady tu kama hujui
Tajiri huna baya tajiri ishi sana tajiriiiii ππSitaki mchumba mimi π
Ila kantriii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mada za hivi zishawekwa zaidi ya mara 100. Hakuna jipya
Chukua togwa hapo kunywa usichoshe watu
Hakuna atakae kuingilia mkuuRuksa kutongoza yoyote yule ila kwa Bantu Lady usiguse nitauwa mtu oohπ