To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Mihogo na miguu ya kuku mnahela mbonaNgoja nilale mm 🥺 wauza mihogo hatupendwi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mihogo na miguu ya kuku mnahela mbonaNgoja nilale mm 🥺 wauza mihogo hatupendwi
Yuko wapi?Usijishushe boss,,kuna mtu kwa kila mtu just trust me
Unaandika vizuri nimependa mwandiko wakoMihogo na miguu ya kuku mnahela mbona
🤣🤣🤣🤣 Usiku mwema mkuuUnaandika vizuri nimependa mwandiko wako
Wapo sana,we chukua mda kuwasoma utawaona,kuna wanawake warembo sana hapa,just watch utawaona tuYuko wapi?
Niaje boss wangu,uko poaTajiri huna baya tajiri
Si unajua jf ni sehemu ya kufurahi boss,maisha hayatakiwi kuwa serious sanaKwema kabisa tajiri naona unawapa darasa vijan a wadogo hapa
Nami naimalizia hiyo nusu nyingine b…
Asante, sasa imetimia. Imeisha hiyo.Nami naimalizia hiyo nusu nyingine b…
Na mimi atakayekuwa na wengi ani connect na mmoja tuende kanisani tukamilishe aganoAtakaepata wawili naomba mmoja tafadhali!
Pm hata sijawahi itumia kabisamin -me humu tunataniana Sana Kama kina Etugrul Bey na wengine Ivo mtu kutambua kwamba wamwitaji kweli ni ngumu...Ivo Kama kweli upo serious nae ephen_ mwonyeshe kwamba upo serious huko pm.Atakuelewa hakika
ndio, sasa nawaza kama la keyboard ni hivi, live je itakuaje ?Penzi la keyboard nalo limekukosesha usingizi!!
Utawehukandio, sasa nawaza kama la keyboard ni hivi, live je itakuaje ?
Vijana wanapapatika utadhani huko kitaa ni kweli wapo singlePenzi la keyboard nalo limekukosesha usingizi!!
kweli, kuwehuka ni lazimaUtawehuka
Wanajiliwaza huko mtaani wanakataliwa sana na pisi kali sasa akiingia humu akiona avatar anadhani kapisi ni pisikali,, ni mchezo wa kujipumbazisha tuVijana wanapapatika utadhani huko kitaa ni kweli wapo single
Mapenzi yanaota popote weweVijana wanapapatika utadhani huko kitaa ni kweli wapo single
Tatizo tukiwapa wanaenda kutuchamba kwenye nyuziWanajiliwaza huko mtaani wanakataliwa sana na pisi kali sasa akiingia humu akiona avatar anadhani kapisi ni pisikali,, ni mchezo wa kujipumbazisha tu