JF Connect: Ni Mwana JF yupi ungependa kukutana nae?

Jamani mdogo wangu Lamomy mie dada yako wa kawaida tu, sema ndio hivo tunalea wajukuu sasahv.
Sema hizo dildo ni tamu balaa.
Two in one🀣
 
Jamani mdogo wangu Lamomy mie dada yako wa kawaida tu, sema ndio hivo tunalea wajukuu sasahv.
Sema hizo dildo ni tamu balaa.
Two in one🀣
😹😹😹 Yani nikikumbuka maneno yako nacheka sanaaa 🀣

Halafu ulivyo serious sasa unapoelezea hayo madildo mi hoi mbavu zaniuma..!!

Mshipa wa aibu ulishakata, halafu mwenyewe wala hujali wala hukasiriki 🀣🀣
 
😹😹😹 Yani nikikumbuka maneno yako nacheka sanaaa 🀣

Halafu ulivyo serious sasa unapoelezea hayo madildo mi hoi mbavu zaniuma..!!

Mshipa wa aibu ulishakata, halafu mwenyewe wala hujali wala hukasiriki 🀣🀣
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Kero za humu ndani utajikuta unamkasirikia kila mwanadama.
Ni kuendelea na yakufurahishayi tu mdogo wangu.
Maisha yenyewe mafupi sana🀣🀣🀣
 
Hivi nilikwambia nimeolewa? 😹😹
Itakua nishaachika basi..!!
Basi vizuri wacha nije nikamatie mrembo mwenye titi lake. Wikend hii tukajofiche sophia huko tunakula raha maana kwanza derby yenyewe yanga hataki kucheza
 
Mambo Brii za siku nyingi, acha tu Luca ni shemeji yangu kabisa....mdogo angu Ephen alielewa mapambio yake πŸ˜‚πŸ˜‚ sahivi anavalishwa madera ya kijani na njano tu.
Hahaha daah bora tuanzishe kampeni ya kumpa talaka, haiwezekani mtu aolewe na Lukasi, nahisi mpaka vitanda wanatandika bendera za ccm huku wakibubujikwa na machozi
 
Lucas Mwashambwa mashemeji hawakutaki πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mimi tayari tumeshapendana na ephen_ wangu lazizi wa Moyo Wangu. Hadi Vitambaa vya mezani itakuwa ni rangi ya CCM tuuu.huku sebure nzima kukijaa picha za Rais Samia na picha za miradi aliyoitekeleza. mezani pia kutakuwa na ilani ya CCM pamoja na katiba ya CCM. ephen wangu Muda wote atakuwa ndani ya madera ya CCM kama mwimba kwaya au taarabu.

Wageni wakija itabidi wamshukuru Kwanza Rais Samia kwa kuimarisha amani ,utulivu na usalama hapa Nchini
 
Mashemeji hawakutaki.....πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…