JF Connect: Ni Mwana JF yupi ungependa kukutana nae?

JF Connect: Ni Mwana JF yupi ungependa kukutana nae?

Huyo wa kwako mnaamuaga kutuburudisha humu

Wa kwangu mie wallah sitawataja 🤣
Mniue lakini sitajiii
😹😹😹 Kweli tunakuwa tumetibuana..!!

Puliiizz naomba mtaje, natamani kumjua huyo jamaa mwenye bahati ya kusumbua kichwa chako mahi…!! 🤣
 
Vishu Mtata huyu jamaa ni mtu makini sana, hakika nikikutana nae nitafaidi madini tukuka yaliyo ndani ya hilo bichwa lake.

Hiyo miwani ya kisomi bila shaka hakosi phd ama uprofesa.

Kuna tetesi kua ni agent makini wa kimataifa,(007), wanamuita James Bond wa kibongo japo naskia yeye hapendi kabisa hilo jina.

Cc Poor Brain
Intelligent businessman
au sio mzee wa kujipakulia minyama...
 
Nimeshapachoka hapo wewe kila mtoko Rotana..?nipeleke Aya Sophia nikapigwe upepo huku namlisha twiga na pundamilia nafaka😂
Kumbe ndio unapo enda kuzagamuliana 🤣🤣🤣
Haya tutaenda sophia
 
Back
Top Bottom