JF Connect: Ni Mwana JF yupi ungependa kukutana nae?

JF Connect: Ni Mwana JF yupi ungependa kukutana nae?

1. Evelyn Salt
2. Atoto
3. Mshana
4. Mshangazi dot com
5. Extrovet
6. Mbaga
6. Joka kuu
7. Matunduizi
8. Kapeace
9. Moderator

Ila ulabu uwepo siku hiyo 😃😃😃
 
Wakaka fulani wawili
Mmoja siwezi kuthubutu kumtaja manake hatujawahi kuwa any close
Siku moja aliniquote kwenye uzi wa Manchester United nilikuwa kazini nimechokaaaa nilivyoona quote yake usingizi na uchovu vilipepea

Huyu mwingine wakati ule najoin hakuna bandiko lake nilikua napita bila kusoma 😂
Huyu nilizoena nae jukwaani wakati ule na ni Member pekee niliyewahi kuanzisha conversation nae huko PM

Kumtaja wa pili naweza lakini hata sitamtaja 😂😂
Sipo kati ya hao wakaka kweli 🙄
 
Back
Top Bottom