Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 26,721
- 98,896
Una ujasiri 🙌🙌Nlikua nikielewa mwandiko wa mtu nazama kumchimba vizuri ili nijue anachokiandika kweli kinasadifu yeye alivyo,. Walahi nikiwa na strss napitia convos naishia kucheka😂😂😂,. Vijana ni waongo sana aisee
Haha eti ungempata,. mweke reserve kwanza main akizingua chap niambie nikuvutie huyo kijana😊
hahahaa ati reserve,huko nishatoka basi tena