Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Hahahaha kaanani ndo wapi?Kaka tupo Kaanani. Shukrani. Bado upo mjini?
Ndiyo kaka nipo mjini,
Hahahaha kaanani ndo wapi?Kaka tupo Kaanani. Shukrani. Bado upo mjini?
Imekaa vizuri hii 😃
Sababu za msingi zipo, hebu ninong"oneze1. Evelyn Salt - nawaza vile unaandikaga ndivo unavoongea? huwa unanifanya natabasamu sana mkuu,can't wait to see u one day
2. Demi -nakukubali tu bila sababu za msingi
3. Depal - vile nakufeel nakua speechless, acha niishe hapo kwa leo
Miss uSababu za msingi zipo, hebu ninong"oneze
Safi. Tz yetu Monetary doctor ni Kaanani.Hahahaha kaanani ndo wapi?
Ndiyo kaka nipo mjini,
Inshallah ipo siku 😍Mshangazi dot com
Leejay49
Mwachiluwi
Mshana Jr
Graham
Bantu Lady
Wana wote wa coktail mocktail KENZY min -me Dr am 4 Real Phd
Tukutane basi twende diving, tukaexplore coral reefs 🪸
Wow🤩Karibu Kigamboni mrembo, tena ukija weekend itapendeza zaidi🥰
Ufanye ukaribie nyanda za juu kusini utanikuta☺Mshangazi dot com
Leejay49
Mwachiluwi
Mshana Jr
Graham
Bantu Lady
Wana wote wa coktail mocktail KENZY min -me Dr am 4 Real Phd
FREE TUNDU ANTIPAS LISSU
Hii itakuwa kaliUitishwe mkutano wote tufike bila kutambulishana id. Wale ambao lazima king'ora kitangulie ndo afuate wasije.
Tukutane basi twende diving, tukaexplore coral reefs