miana amor
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 966
- 1,495
Bas tuishie hapa,usije kutumiwa jini bure😅😅😅nambie my lov
Bas tuishie hapa,usije kutumiwa jini bure😅😅😅nambie my lov
Bas tuishie hapa,usije kutumiwa jini bure
Simu ilikua mbaliUko wapi nakupigia hupokei!
Chizi kabisa wewe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kumbee eeh. Mimi mkali sana, huniwezi. Niliyenaye akili inampaa 😅😅😅😅 na yuko humuhumu.
Uzito gani you mean POUND OR WEIGHT.Mimi na ndege ili tukae meza moja lazima tupimane uzito kwanza 😂
Ndio kwani we hupendiNa iwe tena na tena dipree🤣🤣🤣
Siku hazigandi tutajumuika Mimi wewe na mwanetu Dactari wa money a.k.a Monetary doctor
Hahaha, hiyo siku naisubiri kwa hamu na gamu panapo majaliwa.Mimi na ndege ili tukae meza moja lazima tupimane uzito kwanza 😂
Hahaha kiloUzito gani you mean POUND OR WEIGHT.
Em kausha mzee 😂 nahisi kuvurugwa tuu mpk sasa selewiiHahaha, hiyo siku naisubiri kwa hamu na gamu panapo majaliwa.
Hata hiii mkuuYoyote mdau wa bia na nyama choma.
Noma sanaaHata hiii mkuu
Mwanangu Nyagi maziwa hiyo unakumbuka nilikuambiaNoma sanaa
Cc. Monetary doctorMwanangu Nyagi maziwa hiyo unakumbuka nilikuambia
Umeachwq na mpenzi wako au tatizo ni nini? 😀.Em kausha mzee 😂 nahisi kuvurugwa tuu mpk sasa selewii
Hahahaha ajaribu mtu kwanza nisije ungua Mimi watu wa biochemistry mtupe combination yake hapo.