Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Haaahaa 😊 😅 🤣Nikutane na secretarybird wa ndege na best yake DIVISHENI FOO
cc Dr am 4 real PhD
cc Poor Brain huyu tutapigana kwanza
cc Hovering
Haaahaa 😊 😅 🤣Nikutane na secretarybird wa ndege na best yake DIVISHENI FOO
cc Dr am 4 real PhD
cc Poor Brain huyu tutapigana kwanza
cc Hovering
Hahaha kawaida hiyoHaaahaa 😊 😅 🤣
Tena?!!! Kwanini umewaza hili swali? 😅😅😅😅😅😅😅 Expensive lifeBantu Lady hivi yule ni ke kweli?🥺
Nataka nionane na mtu humble kuliko wate jukwaani Dr am 4 real PhD.Nikutane na secretarybird wa ndege na best yake DIVISHENI FOO
cc Dr am 4 real PhD
cc Poor Brain huyu tutapigana kwanza
cc Hovering
Ahsante sana bonjov 🥰🥰🥰🥰🥰Mshangazi dot com
Leejay49
Mwachiluwi
Mshana Jr
Graham
Bantu Lady
Wana wote wa coktail mocktail KENZY min -me Dr am 4 Real Phd
Mara ngapi sasa dipreee🤣🤣
Ukitoka Kenya uje dar Mimi nipo mzee Leo IDD wap?
Nipo hapa mkuuYoyote mdau wa bia na nyama choma.
Leo nalia huku huku pwani ya Kenya mkuu.Ukitoka Kenya uje dar Mimi nipo mzee Leo IDD wap?
Mara nyingine tena dipresheni 😂Mara ngapi sasa dipreee🤣🤣
Na iwe tena na tena dipree🤣🤣🤣Mara nyingine tena dipresheni 😂
jitahidi ukutane nae kimwiliVishu Mtata huyu jamaa ni mtu makini sana, hakika nikikutana nae nitafaidi madini tukuka yaliyo ndani ya hilo bichwa lake.
Hiyo miwani ya kisomi bila shaka hakosi phd ama uprofesa.
Kuna tetesi kua ni agent makini wa kimataifa,(007), wanamuita James Bond wa kibongo japo naskia yeye hapendi kabisa hilo jina.
Cc Poor Brain
Intelligent businessman
Naaam ni bruh humble for sure.
Kwa kweli sijaona akijibizana na mtu Kwa lugha chafu.Naaam ni bruh humble for sure.
Hahahaa yule babu achana naeHaya mambo ya bia na nyama yalishapigwa marufuku na Mkurugenzi wa WHo kanda ya Afrika! Vijana huwa hamsikii?