JF Connect: Ni Mwana JF yupi ungependa kukutana nae?

JF Connect: Ni Mwana JF yupi ungependa kukutana nae?

Mwenyezi Mungu akubariki kwa kutamani kukutana na GENTAMYCINE ambaye si tu ni Mtu Poa na Mstaarabu ila ni mwenye Roho Nzuri, Tajiri wa Ukarimu, Mchangamfu, mpenda Haki na Usawa, asiyependa Unafiki, Kujipendekeza kwa Mtu, Mchukia Ujinga (Ungumbaru) na Upumbavu (Upopoma), asiyependa SIFA na KUJIONYESHA (MPENDA KUONEKANA MTU WA KAWAIDA), Tajiri wa AKILI (BRAINIAC) kutoka Makabila Manne ya KIASILI yaliyotoa MARAIS Tanzania na Rwanda (ya Zanaki Nyerere, Makuwa na Yao Mkapa na Tutsi Kagame), ana NYOTA KALI mno ya KIMVUTO (KUPENDWA NA WATU WEREVU) na ndiyo maana ana MAADUI WENGI wenye UPUMBAVU MWINGI ambao WANAMCHUKIA KUTWA, halafu ni Mcha Mungu ALIYETUKUKA ambaye IBADA KWAKE ni kama RATIBA YA KULA CHAKULA KILA SIKU na pengine ndiyo maana hata Mwenyezi Mungu nae KAMBARIKI pakubwa KIMAISHA tokea mwaka 2024 kwa KUMHESHIMISHA nje ya Taifa la Tanzania akiwa anaipeperusha vyema kabisa BENDERA ya Tanzania.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer"

AHSANTE BABA MUNGU KWA BARAKA ZAKO.
Cc Monetary doctor
 
Back
Top Bottom