min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Akili kubwa hiyo,wewe bora udili na kina mama D viazi wenzako bwashee 🤔Evelyn Salt popote ulipo shemeji yangu wa kipekee nakupendaaaa Sanaaa
Akili kubwa hiyo,wewe bora udili na kina mama D viazi wenzako bwashee 🤔Evelyn Salt popote ulipo shemeji yangu wa kipekee nakupendaaaa Sanaaa
We kundi gani ni paipai, mwanamke kwel au MWANAUME?sawa 🙂
Yeahh huyu Yuko vyema.. nilisahau ID yake ndo Mana nikapata shida kumtambua haraka.Natamani mno kumuona GENTAMYCINE huwa nahisi nje ya JF inawezekana ni mtu poa na mstaarabu tu..!!
Msinigombanishe na shemeji yangu Evelyn Salt . Huyu ndiye shemeji yangu nimpendaye na kumheshimu kama nimpendavyo mdogo wake ephen_Akili kubwa hiyo wewe bora udili na kina mama D viazi wenzako bwashee 🤔
kama salam, unagonga like tunaendelea
vipi mkuu unatafuta mume mbona unauliza maswali ya kiwaki.We kundi gani ni paipai, mwanamke kwel au MWANAUME?
Jibu swali!!! Kwani Kuna sehemu nimesema natafuta mume? Mbna kama unakuja kishar mkuu wakat hapa tunafurah tuvipi mkuu unatafuta mume mbona unauliza maswali ya kiwaki.
Vishu tangu watishie kuvujisha video zako ukapoa sana mkuu🤣🤣🤣🤣Vishu Mtata huyu jamaa ni mtu makini sana, hakika nikikutana nae nitafaidi madini tukuka yaliyo ndani ya hilo bichwa lake.
Hiyo miwani ya kisomi bila shaka hakosi phd ama uprofesa.
Kuna tetesi kua ni agent makini wa kimataifa,(007), wanamuita James Bond wa kibongo japo naskia yeye hapendi kabisa hilo jina.
Cc Poor Brain
Intelligent businessman
Mambo mremboweye apoo
Ww kitoto cha afutatuMambo mrembo
kuna sehemu nimesema papai,mwanamke, au mwanaume.Jibu swali!!! Kwani Kuna sehemu nimesema natafuta mume? Mbna kama unakuja kishar mkuu wakat hapa tunafurah tu