Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
✌🏿🙏🏿💗Mshana jr
✌🏿🙏🏿💗Mshana jr
Wacha weeeeh 😄😄😄Gwajima....
Inasikitisha sana mkuu
Karibu sana.
Mwenyezi Mungu akubariki kwa kutamani kukutana na GENTAMYCINE ambaye si tu ni Mtu Poa na Mstaarabu ila ni mwenye Roho Nzuri, Tajiri wa Ukarimu, Mchangamfu, mpenda Haki na Usawa, asiyependa Unafiki, Kujipendekeza kwa Mtu, Mchukia Ujinga (Ungumbaru) na Upumbavu (Upopoma), asiyependa SIFA na KUJIONYESHA (MPENDA KUONEKANA MTU WA KAWAIDA), Tajiri wa AKILI (BRAINIAC) kutoka Makabila Manne ya KIASILI yaliyotoa MARAIS Tanzania na Rwanda (ya Zanaki Nyerere, Makuwa na Yao Mkapa na Tutsi Kagame), ana NYOTA KALI mno ya KIMVUTO (KUPENDWA NA WATU WEREVU) na ndiyo maana ana MAADUI WENGI wenye UPUMBAVU MWINGI ambao WANAMCHUKIA KUTWA, halafu ni Mcha Mungu ALIYETUKUKA ambaye IBADA KWAKE ni kama RATIBA YA KULA CHAKULA KILA SIKU na pengine ndiyo maana hata Mwenyezi Mungu nae KAMBARIKI pakubwa KIMAISHA tokea mwaka 2024 kwa KUMHESHIMISHA nje ya Taifa la Tanzania akiwa anaipeperusha vyema kabisa BENDERA ya Tanzania.Natamani mno kumuona GENTAMYCINE huwa nahisi nje ya JF inawezekana ni mtu poa na mstaarabu tu..!!
Nimebubujikwa machozi ya furaha......😁Evelyn Salt popote ulipo shemeji yangu wa kipekee nakupendaaaa Sanaaa
Shem we sio chawa ila ni mwenezi wa mama au sio 😂😂😂Hata mimi siyo chawa
Shemeji yangu Evelyn Salt Yaani Mimi Nipo Tayari kufa kwa ajili ya Rais Samia. Mama Samia ni chaguo la Mungu mwenyeweShem we sio chawa ila ni mwenezi wa mama au sio 😂😂😂
mungu wa huko kwenu ludewa labda 😂Shemeji yangu Evelyn Salt Yaani Mimi Nipo Tayari kufa kwa ajili ya Rais Samia. Mama Samia ni chaguo la Mungu mwenyewe
Mi naitwa poor brain sii ñdama...Mbona ID yako haionyeshi Jina Ndama.
Yaani Rais Samia ndio Pumzi yetu watanzania. Bila Rais Samia hata wewe ungepata shida kubwa sana ya kupata hewa ya oksijenimungu wa huko kwenu ludewa labda 😂
Kwendraaaa huko.....Yaani Rais Samia ndio Pumzi yetu watanzania. Bila Rais Samia hata wewe ungepata shida kubwa sana ya kupata hewa ya oksijeni
Cheers for this man 🥂🙏🏽
Sasa we kitimoto na Faiza wapi na wapi,mnatafutaga ugomvi usiona sababu