Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Usinifanyie hvo..Ww kitoto cha afutatu
Wakati mpaka mama angu anakujua humu mrembo
Usinifanyie hvo..Ww kitoto cha afutatu
Karibu KBYoyote mdau wa bia na nyama choma.
Kumbuka hawa sio machawa viaziMsinigombanishe na shemeji yangu Evelyn Salt . Huyu ndiye shemeji yangu nimpendaye na kumheshimu kama nimpendavyo mdogo wake ephen_
Hata mimi siyo chawaKumbuka hawa sio machawa viazi
Unyama sana. Mnaweka mezani mshahara wooteHalafu mwisho wa mwezi
Mwanzoni niliwatupia ignore list nikaona niwatoe tu huwenda mna njaa tu , wewe ulikuwepo clubhouse na swaga zako kama hizi ukakimbia🤣🤣🤣 karibu CH tenaHata mimi siyo chawa
🙂🙂🙂🙂🙂🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️Usinifanyie hvo..
Wakati mpaka mama angu anakujua humu mrembo
Kila ulipo lazima Ndama wako awepo.Vishu Mtata huyu jamaa ni mtu makini sana, hakika nikikutana nae nitafaidi madini tukuka yaliyo ndani ya hilo bichwa lake.
Hiyo miwani ya kisomi bila shaka hakosi phd ama uprofesa.
Kuna tetesi kua ni agent makini wa kimataifa,(007), wanamuita James Bond wa kibongo japo naskia yeye hapendi kabisa hilo jina.
Cc Poor Brain
Intelligent businessman
We jamaa tutakuja pigana humu ndaniKila ulipo lazima Ndama wako awepo.
Mbona ID yako haionyeshi Jina Ndama.We jamaa tutakuja pigana humu ndani
Labda amekwenda DubaiMama E 😘😘😘
Japo ni karibia miaka mitatu hajakanyaga JF sasa na sijui yuko wapi. Dah! 😭😭😭
View attachment 3358417