JF Connect: Ni Mwana JF yupi ungependa kukutana nae?

Enhe kina nani hao??

Wakaka fulani wawili
Mmoja siwezi kuthubutu kumtaja manake hatujawahi kuwa any close
Siku moja aliniquote kwenye uzi wa Manchester United nilikuwa kazini nimechokaaaa nilivyoona quote yake usingizi na uchovu vilipepea

Huyu mwingine wakati ule najoin hakuna bandiko lake nilikua napita bila kusoma 😂
Huyu nilizoena nae jukwaani wakati ule na ni Member pekee niliyewahi kuanzisha conversation nae huko PM

Kumtaja wa pili naweza lakini hata sitamtaja 😂😂
 
Funguka mamaaaa mda ndio huu,.
Tunaishi mara moja ujue😁😁😁

Na pengine mwamba nae kakuelewa sema ndio hivyo mnakaziana 2016 parefu mno kuficha hisia hadi leo🧐🥴
 
Haisaidii tena manake sipo kwenye situation ya kupendana na mwingine tena
 
Hapo sawa😍,.

Sema kuna miandiko humu ukiiiona unaweza kutaka kumjua huyu mtu anafananaje,.

Kuna kipindi nlikuwaga na fujo huko pm, nikaja kujiambia usiamini maneno ya kuandikwa watu wanajiandikia tu chochote na ni Uongo😂😂😂😂😂😂
 
Miandiko ya JF unaweza kudhani mtu ni wa dunia nyingine,vurugu ya PM ulikuwa unawaambia nini? 🙌

Huyu wa kwanza ambaye sijawahi kuzoeana nae ningempata wallah nisingemuacha hata anipige matukio vipi japo simjui
 
Nlikua nikielewa mwandiko wa mtu nazama kumchimba vizuri ili nijue anachokiandika kweli kinasadifu yeye alivyo,. Walahi nikiwa na strss napitia convos naishia kucheka😂😂😂,. Vijana ni waongo sana aisee

Haha eti ungempata,. mweke reserve kwanza main akizingua chap niambie nikuvutie huyo kijana😊
 
Back
Top Bottom