shati lenyewe shati la shule uwiiiii tomato ...
Asprin umeshatafuta tomato lako??
Na wewe Ruttashobolwa
watu8 jana nlimuona karume akitafuta shati lake la tomato.
ANGALIZO:Wote mtakaovaa mashati ya tomato msile mchuzi kabla ya tukio a chilisosi
Tinga tomato babu Asprin

Shati la Tomato ndio shati gani???
Ahhh wapi? Mi sivai shela bana. vitu vyeupe mtatinga kina mama. Mi mjeda kama kawa ntatinga na tishet na jeans, kama vipi mtanitimua tu, hamna jinsi.
hahahahaaaaaaaa kazi ipo! hujambo lakini? nimekuuliza fundi wa kushona pensi nyanya mwenzangu umeuchuna...veepee
Hahahahahahahahahaha
Bishanga kaniambia amenunua suti white!