JF DAR-WING,WHITE PARTY HAPO Tar: 26 JANUARY, MICHANGO IMEANZA KUPOKELEWA....!!!!!!!

JF DAR-WING,WHITE PARTY HAPO Tar: 26 JANUARY, MICHANGO IMEANZA KUPOKELEWA....!!!!!!!

Asante mwl gfsonwin kwa kufatilia kwa karibu! Bila shaka mambo yatakwenda sawa!

Habarini za Muda Huu Members wote wa JF,
Kama tulivyojadiliana jana kuhusu kufanyika kwa ile White Party ya Dar-Wing, Siku ya Jumamosi ya Tar:26 January Kuanzia Saa 11 jioni hadi majogoo,

Hivyo Basi Mpaka Muda Huu tayari nimeshapokea Michango ya Wadau wafuatao:
1. KakaKiiza
2. Mimi mwenyewe Mzee Mtambuzi
3. gfsonwin
4. Madame B
5. Paloma
6. cacico
7. MJEDA WA LEO TUPO HAPA PUB...
8. Asprin
9. Ruttashobolwa

Jamani nawakumbusha kutuma Mchango wako wa Sh Elfu ishirini au ukipenda zaidi (20,0000 au zaidi, Japo mchango halali ni Sh elfu Ishirini) kupitia kwa Namba za Simu nilizozitoa siku ya Jana.
Ambazo ni:
TIGO PESA (0715 729292 ) AU
VODACOM M-PESA (0752 729292).
MWISHO WA KUTUMA MCHANGO WAKO NI TAREHE 21-01-2013

Pia kumbuka kunipigia simu kwa namba hizo mara baada ya kutuma pesa ili umtajie ID yako.

Mara utakapotuma Mchango wako, basi jina lako utalikuta hapa jamvini.

UP DATE:

Jana kamati ya kutafuta ukumbi ikiongozwa na gfsonwin imefanikiwa kupata ukumbi katika Hoteli ya KEBBY'S iliyoko Mwenye mkabala na ukumbi wa Sinema wa Mwenge. Tumepata sehemu ya GARDEN ambayo iko barabarani kabisa na siku hiyo kutakuwa na LIVE BAND na bendi hiyo inaitwa MOMELA.

Tumeshachagua MENU na meneja wa hoteli hiyo Bi. Skiiter ameahidi kutufanyia mambo makubwa, kwa wale watakaotaka ule mpango wa STAY AWAY FROM HOME baada ya kupata kilaji watapewea special rate ya Tsh. 100,000 kwa usiku mmoja single. Double hairuhusiwi....LOL.

Tunatakiwa kulipa advance ya kiasi cha shilingi 300,000/= wiki ijayo ili ku-secure ukumbi maana demanding iko juu sana. ninawaomba wadu waharakishe kutuma michango yao ili tuweze kulipia ukumb huo.

Nawasilisha.


Asante,

Mtambuzi.

Copy to:
Mwita Maranya, amu, Zion Daughter, Smile, Fidel80, Ruttashobolwa, watu8, Bishanga, King'asti, Remmy, figganigga, snowhite, Bujibuji, Nicas Mtei, mwaJ, nivea, Lisa, Mamndenyi, Asprin, lara 1 na wengineo walioko tayari kuhudhuria mnakaribishwa............
 
Last edited by a moderator:
Asante mwl gfsonwin!

Mtambuzi usiwabanie watu bana Skiiter alisema double ni 125000/= ..............lol!

nasubiria watu waendelee kuconfirm na mpaka sasa walio confirm kwangu ni Mentor, akenajo. hawa nimewapa namba yako ili wakuwasilishe. pia naomba sana swala la champagne at least 3. halafu kuna jambo tume ova look hivi hatutawakaribisha akina maxence mello na invisible??
 
Last edited by a moderator:
Asante mwl gfsonwin!

Mtambuzi usiwabanie watu bana Skiiter alisema double ni 125000/= ..............lol!

nasubiria watu waendelee kuconfirm na mpaka sasa walio confirm kwangu ni Mentor, akenajo. hawa nimewapa namba yako ili wakuwasilishe. pia naomba sana swala la champagne at least 3. halafu kuna jambo tume ova look hivi hatutawakaribisha akina maxence mello na invisible??
 
Last edited by a moderator:
i_miss_you_candle_with_roses.gif


Miss u so much mama wangu gfsonwin

miss you so much ma love.
i love you so much hny..........
nwish you nice week my son.
 
Ebana eeeeeeeeeeeee.....................
Madafada ya Ukwenheeeeeee............

Hapa Chacha....
kardashianfamilychristmascard-615x400.jpg

Toka Kushoto:
Yule Mwanamke aliyeinua mguu ni Arabela,
Pembeni yake ni Smile,
Yuleeeeee.....aliyetanua mikono ni Mwanyasi,
Wa chini yake ni mke mwenzangu Blaki Womani,........... Mme wangu wa pili Arushaone kazi unayo.
Yule mtoto pale kati ni mdogo wangu beibe nasty,
Kaka aliekaa chini ni Shem Filipo,
Baba aliyekaa pale juu yule mwenye tabasamu taff ni Babu DC Dark City,
Pembeni ya Babu DC ni Lily Flower,
Aliyekamata mtoto ni Preta,
Yule mtoto mchanga ni werawera,
Yule mdafada aliyenyoosha mkono huku amekamatia glasi ni KOKUTONA na yule anayeturingishia Upaja wake ni wifi marejesho........wifi una visa wewe, kaka mbona kazi anayoooo....mweeeeeee.........!!!!!!!!

Wanawasubiri watu8, PakaJimmy na CHUAKACHARA waje wawafotoe

We Madame B hujamtambulisha paka ni wa nani?
Halafu mzima wewe, kuna bonge la GYM pale nyumbani hotel huwa naenda, karibu!
 
Last edited by a moderator:
We Madame B hujamtambulisha paka ni wa nani?
Halafu mzima wewe, kuna bonge la GYM pale nyumbani hotel huwa naenda, karibu!

Hahahah................ Mwanyasi bhana, unanitafuta Ubaya sasa,
Ila nimekumbuka, yule Paka ni wa Pale NYINDA HOTEL, aliyekuwa anatusumbua sumbua wakati tunapata Nyama ya Mbuzi, alikuwa anajipitishapitisha mpaka nikamrushia paja la mbuzi, si unamkumbuka lakini???!!!
Taga%2BBeach%2BResort%2B4.JPG
 
Last edited by a moderator:
Jamani mi mbona nitakua mpweke sasa nikija duh, naona hapa kila mtu na wake pls wadada aliye mpweke joini me pls tukale bata pamoja
 
Back
Top Bottom